Country: Dar es Salaam
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 350.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hili Pagale lipo umbali wa wastani wa mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami.
Vyumba 4 vya kulala ( 2 Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 350. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hili Pagale lipo umbali wa wastani wa mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami. Vyumba 4 vya kulala ( 2 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. _____...
https://advertisingdar.co.tz/ad/gholofa-yakumalizia-inauzwa-na-bankchamazi/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.