Ni nyumba ya kumalizia iliyopo jirani kituo cha Mikoani MAGUFULI Terminal.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,600.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
________________mpg
Vyumba vyote vina Vyoo ndani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.