Hapa unaweza kufanya kuendeleza kwaajiki ya Makazi au Shughuli yoyote ya kuongeza Kipato.
Eneo limejengeka vyema.
Ukubwa ni Ekari 3.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi
Tafadhali, Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.