Hapa wajanja wanaweka Maduka na nyumba mpya zz kisasa, PANALIPA.
Mtaa mpana na panavutia Kibiashara.
Iliyopo ni nyumba ya kizamani inayoangalia Barabara mkubwa.ya Mtaa.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuikagua ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________Hjr/mb
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.