Loading…
Views:
TZS45,000,000.00

ENEO LA BIASHARA, INAUZA BANK,TSHS.45MIL.YOMBO

0 0 Reviews
Posted on 02 May 2025

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms: more than 4
  • Parking: Secure Parking
  • Type of property: House , Plot
  • Available for: Sale

Description:

Hapa ni YOMBO VITUKA. 

Hili eneo linaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa.

Panafaa kuweka Jengo la kisasa la 

Maduka ya BIASHARA (MAFREMU) au 

Pamoja na Makazi.

Nyumba iliyopo ni YA KIZAMANI na ina.

●Vyumba 9 vya kulala na

●Frem za Duka 5.

Ukubwa ni Kiwanja SQM.400. 

Umiliki ni LESENI YA MAKAZI. 

MUWEKEZAJI HAPA PANAFAA WAHI.

___________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

____________jj


Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. 


Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS45,000,000.00

ENEO LA BIASHARA, INAUZA BANK,TSHS.45MIL.YOMBO

0 0 Reviews
Posted on 02 May 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top