Eneo ni zuri,limezunguushiwa Ukuta lote na lina Geti.
Ukubwa ni jumla ya Ekari 8.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa panafaa kuwekeza kwenye shughuli za kutoa Huduma kwa jamii kama; Shule, Hospitali , Hoteli, Hall, Kanisa au Mradi mkubwa wa Makazi.
Pamezunguukwa na Makazi ya watu,
Na panaangalia Barabara ya Mtaa.
Ni Mita 500 tu kutoka barabara kubwa ya Kinyerezi.
Bei ni BILIONI MBILI SHILINGI.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.100,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________mp
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.