Eneo lipo DISUNYALA,
Ni umbali wa kilomita 53 kutoka Dar Mjini,
Na kilomita 3 tu kutoka Barabara ya Morogoro/MLANDIZI.
Njia nzuri na pana.
Ni jirani Hospitali.
WAHI MAPEMA MALI ADIMU HIZI.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kukagua ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.