Country: Dar es Salaam
Hapa ni mita 150 tu kutoka Barabara ya Lami ya Pugu. Eneo limezungushiwa Ukuta na Get safi lipo. Ndani yake kuna: ●Ofisi 4. ●Choo na ●Tank za kuhifadhia Maji, Ujazo wa Tank wa Lita10,000. Unaweza kutumia kama Yard, Kituo cha kuuza Nishati za Mitambo na Motokaa, Shule nk. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Kwa Biashara inayohusu Gari kubwa; Ukitokea Kibaha kufika hapa ipo njia ya Mojakwamoja ioo ambayi haikulazimu kufika/kupitia Ubungo. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________zw Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hapa ni mita 150 tu kutoka Barabara ya Lami ya Pugu. Eneo limezungushiwa Ukuta na Get safi lipo. Ndani yake kuna: ●Ofisi 4. ●Choo na ●Tank za kuhifadhia Maji, Ujazo wa Tank wa Lita10,000. Unaweza kutumia kama Yard, Kituo cha kuuza Nishati za Mitambo ...
https://advertisingdar.co.tz/ad/eka-2-za-kibiashara-tshs-1-7-bil-pugu-hill/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.