Country: Dar es Salaam
.Hapa kuna nyumba 3 katika Kiwanja kimoja kikubwa ambapo unaweza kutanua ujenzi zaidi ikikupendeza. NI NYUMBA YA BIASHARA. LODGE ina jumla ya vyumba 10 vya kulala, NYUMBA ina vyumba 3,Banda lenye VYUMBA 2 na BAR ina KAUNTA 2. Mali hii ipo umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 3,150. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ___________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
.Hapa kuna nyumba 3 katika Kiwanja kimoja kikubwa ambapo unaweza kutanua ujenzi zaidi ikikupendeza. NI NYUMBA YA BIASHARA. LODGE ina jumla ya vyumba 10 vya kulala, NYUMBA ina vyumba 3,Banda lenye VYUMBA 2 na BAR ina KAUNTA 2. Mali hii ipo umbali wa m...
https://advertisingdar.co.tz/ad/barlodge-pamoja-inauza-bankstop-over-kimara/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.