Hapa kuna Bar, Lodge yenye Vyumba 4 (vyote Vyoo ndani) Majiko 2, Kaunta 1-kubwa, Lounge, Ofisi na Ukumbi kwaajili ya Sherehe,
Store pamoja na Vyumba 2 vya Wafanyakazi humohumo.
Vilevile kuna Frem 2 za Biashara/Maduka.
Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba 3,135.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
________________
Hapa unanunua Biashara.
Wahi kabla hujachelewa.
Wasiliana nami iwapo unahitaji kuikagua.