Country: Dar es Salaam
●Kiwanja nikikubwa. ●Upande mmoja kina mteremko. ●Ukiusawazishwa mteremko unapata eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba kubwa kadhaa. Ni umbali wa wastani wa kilomita 2 tu kutoka kituo cha MUHIMBILI GOBA/MBEZI road ( Dakika 15 tu kwa Miguu) Eneo maarufu kama UZUNGUNI. Unaweza pia kupitia MBEZI LUXURY/KWA TUPATUPA. Banda limeezekwa tu. Halina umeme. Majirani wapo kadhaa. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuina ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________mien
●Kiwanja nikikubwa. ●Upande mmoja kina mteremko. ●Ukiusawazishwa mteremko unapata eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba kubwa kadhaa. Ni umbali wa wastani wa kilomita 2 tu kutoka kituo cha MUHIMBILI GOBA/MBEZI road ( Dakika 15 tu kwa Miguu) Eneo maar...
https://advertisingdar.co.tz/ad/banda-la-vyumba-viwili-mbezi-luis-goba-muhimbil/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.