Hii nyumba tayari kuna watu wanaishi hapo ingawa inahitaji maboresho.
Ipo mita chache tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.