Eneo ni maarufu kama Vikawe Bondeni,
KIMERE/MINGOI
Umbali wa klomita 5 kutika Mingoi Kituoni/Bagamoyo road.
Upande wa kushoto ukieleke Bagamogo.
Panafikika vizuri na urahsi..
Na eneo linajengeka kwa kasi.
Ni Banda ‘Simple’ tu.
Milomita 5 tu kutoka Mingoi Kituo i/Bagamoyo road.. Boda Tshs.1500
___________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalioa wewe Mnunuzi)
___________________
Huduma za Umeme na Maji hazijaingizwa lakini zipo pembeni mwa Kiwanja.
Banda la vyumba viwili na S3buke yake.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.