Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 200.
Kiwanja KIMEPIMWA.
Apartment mbili ni za Chumba na Sebule,
Kodi ni Tshs.200,000/Mwezi
Apartment 4 ni za Chumba kimoja,
Kodi kila moja ni Tshs.50,000/Mwezi.
Jumla Kodi nyumba zote zinaingiza Tshs.400,000 kila Mwezi.
________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.