Country: Dar es Salaam
Hii hapa ni nyumba yenye PANDE 3: Mbili ya pande hizi ni za vyumba 2, Sebule, Jiko na Choo. Moja ni ya Chumba 1, Sebule na Jiko. Jumla Makusanyo ya Kodi kwa Mwezi ni Tshs.900,000/Mwezi kwa nyumba zote. Nyumba ni nzuri, safi, yenye nafasi na bora. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________ev Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii hapa ni nyumba yenye PANDE 3: Mbili ya pande hizi ni za vyumba 2, Sebule, Jiko na Choo. Moja ni ya Chumba 1, Sebule na Jiko. Jumla Makusanyo ya Kodi kwa Mwezi ni Tshs.900,000/Mwezi kwa nyumba zote. Nyumba ni nzuri, safi, yenye nafasi na bora. ___...
https://advertisingdar.co.tz/ad/apartments-3-tshs-165-milioni-boko/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.