Hizi nyumba ni mpya,
Gombania Goli,
Atakaewahi analipia anachukua nyumba.
UNAANZA KUISHI WEWE HAPA,
-NA BARAKA TELE,
HIVYO WAHI.
Ni nyumba mpya za kisasa.
Kila moja ina vyumba 2 vya kulala.
Ambapo chumba kimoja ni Masta na pia kuna Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani.
Maji na Umeme unajitegemea.
Parking inawekwa Paving punde na kutakuwepo na Garden.
Mazingira ni Salama na Tulivu.
Sasa wewe chelewa badae ujilaumu.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________dsl
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.