Country: Dar es Salaam
Unaweza kupitia Stpp-Over pia na umbali ni kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Hakuna Masta kuna Choo 1 tu ndani.
Vyumba 2 vya kulala,Sebule,Jiko, LUKU yako.
Parking kubwa,Maji safi yanatoka ndani.
Wahi kabla hujachelewa.
______________
ANGALIZO:
Malipk ya Dalali ni Kodi ya Mwezi 1.
Kuina ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
Wasimiana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________gd
Nyumba ina Tiles,Gypsum, Dirisha za Vioo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Unaweza kupitia Stpp-Over pia na umbali ni kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Hakuna Masta kuna Choo 1 tu ndani. Vyumba 2 vya kulala,Sebule,Jiko, LUKU yako. Parking kubwa,Maji safi yanatoka ndani. Wahi kabla hujachelewa. ______________ ANGALI...
https://advertisingdar.co.tz/ad/apartment-nzuri-vyumba-2-kimara-mwisho/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.