IPO NYUMA YA UDSM MAIN CAMPUS.
Hapa ni mahali safi,salama na penye hadhi yake ya kipekee.
Utulivu,ukimya na usalama kama wote.
KODI ni Tshs.850,000/Mwezi
Ilipwe kuanzia Miezi 6.
______________
ANGALIZO:
Mqlipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________yn
Vyumba 2 vya kulala (1 Mast
Pia kuna Sebule,Jiko, Dining na Choo cha Familia.
Huduma ya Maji safi ipo,
LUKU ya kujitegemea,
Parking kubwa na usalama upo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.