Country: Dar es Salaam
Hizi ni nyumba za kisasa zenye Wapangaji.
4 ni za Vyumba 2 ( Masta 1) Sebule na Jiko.
1 ina Chumba kimoja Masta.
Pia kuna Fremu za Maduka 2.
Kodi Jumla zinaingiza Tshs.2 Milioni/Mwezi.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Ni nyumba ya kisasa yenye nafasi ambayo imejengwa kisasa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hizi ni nyumba za kisasa zenye Wapangaji. 4 ni za Vyumba 2 ( Masta 1) Sebule na Jiko. 1 ina Chumba kimoja Masta. Pia kuna Fremu za Maduka 2. Kodi Jumla zinaingiza Tshs.2 Milioni/Mwezi. ______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50...
https://advertisingdar.co.tz/ad/apartment-5-za-kisasa-na-fremu-2-tabata-segerea/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.