Loading…
Views:
TZS110,000,000.00

APARTMENT 4, FREM-12,HATI IPO,TSH.110 MIL,KIBAHA

0 0 Reviews
Posted on 12 September 2024

Country: Pwani

  • Bathrooms: more than 3
  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House , Commercial Property
  • Available for: Sale

Description:


Kiwanja kina Hati Miliki (TITLEDEED) ya Wizara. 

Chumba 1, Sebule na Jiko lake zipo 4 ndani ya Fensi.

Maduka/Frem zipo 12.

Apartment @ Kodi kwa mwezi ni Tshs.130,000.

Maduka @ Kodi kwa mwezi ni Tshs.80,000.

JUMLA YA MAKUSANYO YA KODI KWA MWEZI NI TSHS..1,480,000.

(Soma; Moja Milioni, Mia Nne Themanini Elfu)

Wastahafu na Wawekezaji hii ndio Biashara isiyopasua kichwa.

Wahi kuona uchukue maamuzi mapema.

_______________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000.

(Unalipa wewe Mnunuzi)

Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali. 

_______________mpg


Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali. 



Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS110,000,000.00

APARTMENT 4, FREM-12,HATI IPO,TSH.110 MIL,KIBAHA

0 0 Reviews
Posted on 12 September 2024
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top