Country: Dar es Salaam
KIGOGOFRESH ni eneo ambalo lipo umbali wa wastani wa kilomita 25 kutoka POSTA baada ya Kituo cha KONA ukielekea CHANIKA. Daladala moja tu unafika Kariakoo. Hizi nyumba zimekusudiwa kuwa za KUPANGISHA. Kuna APARTMENT moja ya kisasa ILIYOKAMILIKA, ambayo ina Chumba kimoja (1) cha kulala, Sebule na Jiko. PIA kuna MAPAGALE MAWILI: ●Lipo lililoishia hatua ya kwenye LINTA. ●Lingine lipo katikati KUFIKIA hatua ya LINTA. Yote Mawili mpangilio wake ni: ●Chumba 1,Sebule,Jiko,Choo. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 570. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________tp Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
KIGOGOFRESH ni eneo ambalo lipo umbali wa wastani wa kilomita 25 kutoka POSTA baada ya Kituo cha KONA ukielekea CHANIKA. Daladala moja tu unafika Kariakoo. Hizi nyumba zimekusudiwa kuwa za KUPANGISHA. Kuna APARTMENT moja ya kisasa ILIYOKAMILIKA, amba...
https://advertisingdar.co.tz/ad/apartment-1-na-mapagale-room-4kigogo-freshpugu/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.