Ninaitwa Regina laurent. Nina miaka 27.Mimi ni mtaalamu wa Nyaraka zihusianazo na ardhi, uthamini wa ardhi na majengo, usimamizi wa Mali na mashauriano ya mambo yote yahusianayo na ardhi. Nina astashahada ya USIMAMIZI WA ARDHI, USAJILI WA NYARAKA NA UTHAMINI WA ARDHI NA MAJENGO. Niko huru kufanya kazi kwa kuandikishana mikataba na wateja wangu Pamoja na mikataba ya kujiridhisha. Matumaini yangu ni kuweza kusaidiana na wale wenye uhitaji wa kubinafsisha Mali zao kwa ajili ya umiliki pamoja na upangaji mirathi na wanakosa muda wa kutosha wa kufanya hivo lakini vilevile kutoa ushauri Kuhusiana na mambo yote ya ardhi na namna ya Uwekezaji katika Mali zao kwa manufaa yao ya baadae. Kwa mawasiliano zaidi Piga. 0719211561 /0756558505 au tuma barua pepe kupitia reginalaurent49@gmail.com.