Country: Dar es Salaam
.
Kiwanja kina ukubwa wa jumla wa SQM.1,340.
Umiliki ni HATI (TITLEDEED) ya Wizara.
Ni wastani wa mita 600 tu kutoka Barabara ya Lami.
Kila nyumba moja inechukua eneo la SQM.150.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
_____________mpg
Ni nyumba za kisasa ambapo kila moja inajitegemea na inakuwa na vyumba 3 vya kulala (Masta ni 1) Sebule,
Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Tiles,Gypsum,Dirisha za Vioo vipo.
Pia kuna Parking,
CCTv,
Electric Fence,
Kisima cha Maji.
Ukihitaji kuikagua,
Taarifa mapema tafadhali.
. Kiwanja kina ukubwa wa jumla wa SQM.1,340. Umiliki ni HATI (TITLEDEED) ya Wizara. Ni wastani wa mita 600 tu kutoka Barabara ya Lami. Kila nyumba moja inechukua eneo la SQM.150. _____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuina ni Tshs.50,000....
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-4-hati-moja-pamojakibada-kigamboni/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.