Loading…
Views: 122
TZS650,000,000.00

UKUMBI MZURI WA SHEREHE, PLOT SQM.2387, KIBAMBA

Posted on 12 September 2024

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms : 1
  • Bathrooms : 1
  • Parking : Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of Property : Business Premises, Commercial Property
  • Available for : Sale

Description:

Ni Ukumbi wa kisasa Wenye AC uliopo KIBAMBA SHULE.

Ni umbali wa wastani wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya. MOROGORO. 

Unahudumia watu 350+ kwa pamoja.

Pia kuna Kaunta ya Vinywaji,Jiko kubwa na Garden tulivu.

Ukubwa wa Kiwanja ni Mita Mraba 2,378

Umiliki ni HATI  (Title Deed) ya Wizara

_________________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000 

(Unalipa wewe Mnunuzi)

Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu 

_________________gKm


Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. 







Views: 122
TZS650,000,000.00

UKUMBI MZURI WA SHEREHE, PLOT SQM.2387, KIBAMBA

Posted on 12 September 2024
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top