Country: Dar es Salaam
Ni nyumba yakizamani ambayo haijachoka HAIJACHOKA.
Jumla ina vyumba 3 na pia Banda lenye vyumba 2 nyuma pamoja na Frem moja ya Biashara/Duka.
Ni Kiwanja cha Tatu kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM334.
SI VIWANJA VINGI VINA UKUBWA HUU SINZA.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara YA KUBADILISHA.
Hapa ni umbali wa kilomita 9 tu kutoka Kati Kati ya Mji (POSTA) na ni maeneo kwa uwekezaji kwa sasa.
Unaweza kuiboresha au kuivunja na ukajenga nyumba ya kisasa ya Biashara ya kupangisha.
__________________
ANGALIZO.
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________________
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali
Ni nyumba yakizamani ambayo haijachoka HAIJACHOKA. Jumla ina vyumba 3 na pia Banda lenye vyumba 2 nyuma pamoja na Frem moja ya Biashara/Duka. Ni Kiwanja cha Tatu kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM334. SI VIWANJA VINGI VINA UKUBWA HUU...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-kiwanja-jirani-na-barabara-ya-lami-sinza/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.