Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ni umbali wa Mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami.
__________________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________________zw
Eneo limejengeka vizuri.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.