Kiwanja hiki kipo mita 300 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Jirani na njia ya kuelekea Mabwepande.
Kwa mwendo wa miguu wa kawaida ni Dakika 5 kufika Barabara ya Bagamoyo..
Unaweza kujenga Maduka mbele,
Nyuma ukaweka Mjengo wako
Au kujenga nyumba yako yenye nafasi pekeyake.
Ukubwa ni Mita za Mraba 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Eneo limejengeka vizuri.
Huduma muhimu zipo jirani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.