Hii nyumba ni nzuti na ina jumla ya Vyumba vya kulala vitano (5) na ambapo kila kimoja kina Choo chake ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500.
Umiliki ni MKTABA WA MAUZIANO.
KAMA UNA FAMILIA KUBWA HAPA NDIO KWAKO ACHA KUJIBANABANA NA WATOTO (DHAMBI)
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa