Hapa ni umnali wa Kilomita 9 kutoka Ferry.
Utatoa kilomita 4 za kutoka Kibada kwenda KISARAWE II.
Kiwanja kizuri cha kwenye Kona na katika mtaa unaojengeka kwa kasi.
SQM.700.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________zm
Huduma muhimu za Kojamii zipo.
Ukihitaji kuwasiliana nami, taarifa mapema tafadhali.