Country: Dar es Salaam
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500.
Umiliki ni HATI (Title ) ya Wizara
HAPA UNAINGIA NA NGUO ZAKO HUHITAJI HATA KUFAGIA.
Ipo kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Lami.
Kwa Daladala unashukia SHANGWE.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
_______________zw
Hii ni nyumba ya kisasa, imara na bora.
Ina jumla ya Vyumba vinne (4) vya kulala.
Kati ya vyumba hivyo 4, 3 vina Vyoo ndani.
Pia kuna Chumba cha nje kimoja,
Kisima cha Maji matamu,
Parking safi yenye paving na Pametulia hasa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500. Umiliki ni HATI (Title ) ya Wizara HAPA UNAINGIA NA NGUO ZAKO HUHITAJI HATA KUFAGIA. Ipo kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Lami. Kwa Daladala unashukia SHANGWE. _______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-hati-tshs-170-milioni-ungindoni/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.