Country: Dar es Salaam
Ni umbali wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba 800 na kuna Fensi.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10 %
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Nyumba kubwa Ina vyumba 3(Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ndogo inavyumba 2 (Masta 1) Sebule, Jiko la wazi, Dining, Store na Choo
Kila moja Ina LUKU yake..
Tiles,Gypsum, Dirisha za Vioo na parking Safi na kubwa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Ni umbali wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba 800 na kuna Fensi. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10 % Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe Mnunuzi) Wasiliana na...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mpya-mbili-pamoja-mbezi-luguluni-moro-rd/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.