.
Inahitaji umaliziaji ujenzi kiasi.
Eneo ni kubwa na mtaa umejengeka vizuri.
Ukubwa Mita za Mraba 1500.
Umiliki ni Mkataba wa Mauziano.
Huduma za Umeme na Maji zipo na panagikia kwa Gari msimu wowore.
Eneo ni kubwa unaweza kuongeza nyumba au kufsnya shughuli za ufugaji.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona Tshs.50,000.
(Unalipa weee Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratinu zangu.
___________
Ina Vyumba 3 vya kulala (Masta 1)
Pis kuna Sebule,Jiko,Dining,Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema.