Hii ni ya kuhamia.
Kiwanja Mita za mraba 420
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo jirani sana na Barabara kuu ya Lami.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ji 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu
__________________R
Chumba kimoja ni masta.
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining,
Store na Choo cha Familia ndani.
Tiles,Gypsum,Dirisha za Vioo.
Huduma za Maji,Umeme zipo.
Parking ndani ya Geti.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.