Eneo limerasmishwa tayari
(Hati ipo kwenye mchakato)
Umeme upo wa Phase3 na Nyumba ya Wafanyakazi ipo.
Ni umbali wa kilomita 7 kutoka barabarabya Morogoro.
Karibu uanze kufuga na kuzalisha upedacho bila kupoteza muda
—————————————–
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona mi Tshs.50,000.
(Unalipa wewe mnunuzi)
Wasikiana nami iwapo tu unaridhia .
—————————————–mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadha;i.