Hii ni nyumba mpya iliyojengwa kisasa (Contemporary design)
Kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 600.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 4 vya kulala ambapo 2 vina Vyoo ndani, Pia kuna Sebule, Jiko,Dining,Store na Choo chanFamikia ndani.
——————–
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya kukagua ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo unaridhia taratibu zangu.
——————–
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.