Ni nadra sana kupata kiwanja cha ukubwa kama huu maeneo ya Sinza.
Hii ipo katika Kiwanja chenye ukubwa wa Mita za Mraba 712.
Umiliki ni ‘LETTER OF OFFER’
Nyuma kubwa safi na yakuhamia.
————–
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo unaridhia taratibu zangu.
—————-moi
Ina jumla ya vyumba 3 (Mastab1) Sebule,Jiko,Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Pia ina nyumbanya Mfanyakazi ta chumba kimoja.
Tiles,Gypsum,Dirisha za Vioo,AC na Parking kubwa ipo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tagadhali