Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 400.
Umiliki mi HATI ( Title Dee) ya Wizara.
——————————-
ANGALIZO:
Malipo ya Falali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Munuzi)
Wasiloana nami tu iwapo unaridhia taratibu zangu.
——————————-kt
Juu kuna Apartment 2 kila moja ina Vyumba viwili,
Sebule,Jiko na Choo.
Chini kuna apartment 2 kila moja ina Chumba kimoja, Sebule, Jiko lake na Choo chake.
Pia kuna nyumba ndogo yenye Vyumba viwili ambapo kila kimoja kinajitegemea.
Vilevile kuna Frem za maduka 3.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.