Kiwanja kina Hati (Title deed) ya Wizara.
Eneo ni kubwa na lipo jirani na Kituo cha Magufuli.
Panafaa kuendeleza Kibiashara.
——————————–
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000/
( Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo unaridhia taratibu zangu.
———————————-
Nyumba ina vyumba 3 (Masta 1)
Sebule,Jiko,Dining,Store na Choo cha Familia ndano.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.