Ni chumba kimoja ambacho ni Masta (Choo chake ndano) pamoja na Sebulr yake.
(Hakuna Jiko) na Parking hakuna lakini nyumba ipo ndwni ya Fensi.
———————-
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kofi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
————————–
Nyumba ina Tiles.