Loading…
Views:
TZS78,000,000.00

Inauzwa: NYUMBA MPYA,VYUMBA VITATU (3) TSHS.78 M

0 0 Reviews
Posted on 30 August 2023

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:



HII NI NYUMBA YAKUHAMIA

Ipo eneo la Dovya Mbagala Chamazi.


Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 440.

Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO..


-----------------------------------


ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000.

(Unalipa wewe Mnunuzi)


Wasiliana iwapo tu unaridhia Taratibu zangu.

------------------------------------


Huruma muhimu na za Msingi zinapatikana kiurahisi.


Vyumba ( Masta 1) 

Pia kuna Sebule, Jiko, Dining,Store na Choo cha Familia ndani.


Tiles, Gypsum nanDirisha ni za Vioo.


Parking kubwa na salama yenye paving ipo.

Bei ni Tshs.78 milioni.

Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS78,000,000.00

Inauzwa: NYUMBA MPYA,VYUMBA VITATU (3) TSHS.78 M

0 0 Reviews
Posted on 30 August 2023
Dealer

Mohammed Bakari

Member Since March 18, 2019

View All Ads
see map location Mbagala, Chamazi, Dovya.
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top