Umbali ni kilomita 1 kutoka Barabara ya Morogoro.
Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba 1670.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
———————————
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%.
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
———————————mpg
Ujenzi ni imara na wa kisasa.
Vyumba Vinne (4) vya kulala ambapo kila kimoja kina Choo chake ndani.
Eneo linafikika kiurahisi na Mtaa unajengeka kwa kasi.
Bei ni Tshs.200 Milioni.
Ukihitaji kukagua, tafadhali wasiliana nami mapema kuikoa muda wako muhimu.