Country: Dar es Salaam
Hapa ni GONGOLAMBOTO-MWISHO. Kilomita 9 kutoka Airport, Na kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Nyerere. ●Nyumba kubwa ina vyumba vya kulala 3 (Masta 1) ●Nyumba ya pili, ina vyumba 3 (vyote vyoo ndani) ●Pia kuna nyumba ndogo yenye vyumba 2 (Masta 1) ●Na vilevile kuna nyumba ya Mlinzi. ●Mabanda ya kufugia kuku pua yapo. Eneo ni kubwa unaweza kuendelea kujenga zaidi. PANAFAA KUISHI NA FAMILIA YAKO KUBWA AU BIASHARA YA KUPANGISHA AU SHULE YA WATOTO. Kiwanja SQM.4,644. LIMEPIMWA. ________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ________________zw
Hapa ni GONGOLAMBOTO-MWISHO. Kilomita 9 kutoka Airport, Na kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Nyerere. ●Nyumba kubwa ina vyumba vya kulala 3 (Masta 1) ●Nyumba ya pili, ina vyumba 3 (vyote vyoo ndani) ●Pia kuna nyumba ndogo yenye vyumba 2 (Masta 1) ●Na ...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-tatu-pamojaplot-sqm-4644gongolamboto/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.