Country: Dar es Salaam
Hapa ni SARANGA KIMARA TEMBONI. Kuna nyumba TATU. Moja ni Ghorofa ya Sakafu mbili. Ina Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani. Ya Pili; Ina Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Pia ina Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani. Ya Tatu; Ina vyumba 2 ( Masta 1) Pia ina Sebule na jiko lake. Ipo ndani ya Fensi nzuri na Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. WAHI ITAKUFAA SANA HII. ________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ________________mkv
Hapa ni SARANGA KIMARA TEMBONI. Kuna nyumba TATU. Moja ni Ghorofa ya Sakafu mbili. Ina Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani. Ya Pili; Ina Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Pia ina Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani. Ya Tatu; Ina vyumba 2 (
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-3-ikiwemo-ghorofa-tzs-115-milsaranga/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.