Country: Dar es Salaam
Hapa ni mita chache yu kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Nyuma kuna nyumba ndogo yenye Vyumba 2 vya kulala.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_______________tP
Hapa ni mita chache yu kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 3 ( Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani. Nyuma kuna nyumba ndogo yenye Vyumba 2 vya kulala. Huduma za Umeme...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mpyavyumba-3tzs-55-milpugu-kona-ilala/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.