Country: Morogoro
Mali hii ipo ina eneo kubwa, unaweza kuongeza kujenga zaidi. Ndani ya Fensi na Sehemu yenye Biashara. Ni nyumba ya chini. Vyumba 14 kila Chumba na Choo chake ndani. Pia kuna Ofisi na Parking yakutosha. Wekeza penye Pesa weweee. __________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. _________________mpg
Mali hii ipo ina eneo kubwa, unaweza kuongeza kujenga zaidi. Ndani ya Fensi na Sehemu yenye Biashara. Ni nyumba ya chini. Vyumba 14 kila Chumba na Choo chake ndani. Pia kuna Ofisi na Parking yakutosha. Wekeza penye Pesa weweee. __________________ ANG...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-wageni-lodgevyumba-14morogoro-mjini/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.