Country: Morogoro
NYUMBA YA KISASA,VYUMBA 4,TZS.75 MIL,MKUNDI MOROGORO. Nyumba ipo umbali wa mita 900 kutoka Barabara ya Morogoro/Dodoma. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.700. KINA OFA. Vyumba 4 vya kulala (Kila kimoja Choo ndani) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. INAHITAJI UMALIZIAJI MDOGO. ●Umeme upo ●Tiles tayari ●Ceiling tayari ●Fence tayari. NASEMA WAHI UJITWALIE HII. _________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. _________________mpg
NYUMBA YA KISASA,VYUMBA 4,TZS.75 MIL,MKUNDI MOROGORO. Nyumba ipo umbali wa mita 900 kutoka Barabara ya Morogoro/Dodoma. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.700. KINA OFA. Vyumba 4 vya kulala (Kila kimoja Choo ndani) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store n...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-kisasavyumba-4mkundi-morogoro/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.