Loading…
Views: 2
TZS200,000,000.00

SHAMBA LILILOENDELEZWA,EKA 20,KIROMO-BAGAMOYO.

Posted 14 hours ago

Country: Pwani

  • Bedrooms : more than 4
  • Bathrooms : more than 3
  • Parking : Secure Parking
  • Type of Property : House , Plot , Farm , Land
  • Available for : Sale

Description:

Lipo umbali wa kilomita 63 kutoka Dar es salaam Mjini. Na kiilomita 5 tu kitoka Barabara ya Bagamoyo.   HIVYO NI MJINI KABISA.   Ndani yake kuna: ●Nyumba 2 kila moja inajitegemea. ●Go-down/Ghala la Kuhifadhi Mazao ●Mabanda ya Kufugia Ng'ombe ●Mabanda ya Kufugia Kuku ●Mabwawa Makubwa (2) ya Kufugia Samaki (Na Samaki Hai wapo) ●Miti ya Mbao pamoja na Miti ya Matunda kadhaa.   Wahi chukua hili uendeleze Kilimo na Ufugaji sehemu ambayo Mazingira,Miundo-mbinu tayari ipo, Kubwa zaidi ni jirani na Dar Mjini au Bagamoyo.   ___________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ____________________/mpg    

Views: 2
TZS200,000,000.00

SHAMBA LILILOENDELEZWA,EKA 20,KIROMO-BAGAMOYO.

Posted 14 hours ago
Always Open
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top