Country: Morogoro
Shamba zuri,tambarare. Tunahitaji Mnunuzi wa Shamba lote. Lipo umbali wa kilomita 70 kutoka Morogoro Mjini na, kilomita 2 tu kutoka Barabara inayoelekea KILOSA. LIMEPIMWA na Mawe ya Wizara ya Ardhi yapo. Hata hivyo, eneo hili unaweza kuomba kubadilisha Matumizi ili kuwa Makazi sababu lipo jirani na Shule. Kata Viwanja utajirike wewe. WAHI, Hapa kutajutia. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ____________s-i
Shamba zuri,tambarare. Tunahitaji Mnunuzi wa Shamba lote. Lipo umbali wa kilomita 70 kutoka Morogoro Mjini na, kilomita 2 tu kutoka Barabara inayoelekea KILOSA. LIMEPIMWA na Mawe ya Wizara ya Ardhi yapo. Hata hivyo, eneo hili unaweza kuomba kubadilis...
https://advertisingdar.co.tz/ad/shamba-lililopimwa-eka-22mdaula-morogoro/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.