For sale
Posted on 25 June 2025Country: Dar es Salaam
Hapa ni jirani na Kituo cha Daladala cha Magole. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room, Na Choo cha Familia ndani. Gari inafika na Umeme na Tiles tayari vipo. Umaliziaji ni mdogo tu uliobako, Na INAWEZA KUKUSITIRI katika hali yake kuliko kuanza kuhangaika na Kiwanja ndipo uanze ujenzi. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
For sale
Posted on 25 June 2025Hapa ni jirani na Kituo cha Daladala cha Magole. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room, Na Choo cha Familia ndani. Gari inafika na Umeme na Tiles tayari vipo. Umaliziaj...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-kumalizia-ujenzi-kidogo-kivule/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.