Country: Dar es Salaam
Unashukia GONGOLAMBOTO Mwisho.
Ipo umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Pugu.
Nyumba kubwa ina vyumba 4 (masta 1)
Uwani kuna nyumba ndogo yenye jumla ya vyumba 4 pia.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Ndani ya Fensi.
INAFAA KUPANGISHA
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Unashukia GONGOLAMBOTO Mwisho. Ipo umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Pugu. Nyumba kubwa ina vyumba 4 (masta 1) Uwani kuna nyumba ndogo yenye jumla ya vyumba 4 pia. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni LESENI YA MAKAZI. Ndani ya Fensi. I...
https://advertisingdar.co.tz/ad/vyumba-8-inauzwa-na-bank-gongolamboto/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.